Wednesday, November 28, 2012

HII NDIO HALI HALISI ILIVYOKUWA MOCHWARI BAADA YA KUUFATA MWILI WA MAREHEMU SHARO MILIONEA .

 Bango likiwa Lango kuu la kuingilia hospitali teule ya Muheza,Tanga
 Eneo la Hospitali Teule ya Muweza ulipohifadhiwa mwili wa marehemu Mjomba wa Marehemu Sharo Milionea akimwaga machozi...


 Mama Mkubwa wa Sharo Milionea akilia kwa uchungu...
 Msanii aliyekuwa Rafiki kipenzi wa Sharo (Kitare) akiangua kilio Mochwari


 Kiongozi toka Serikalini akitoa maelekezo kwa watu waliofika mahali hapo....

 Huyu ni Mama Mzazi wa Sharo Milionea akiingia Mochwari kuutazama mwili wa mwanae
Ni majonzi,vilio na huzuni vilitawala eneo la hospitali teule ya Muheza,Tanga pale ndugu,jamaa,marafiki na wasanii wenzake Sharo Millionea
walipo enda kuuchukua mwili wa marehemu Sharo Millionea tayari kwa kwenda kumpumzisha katika nyumba yake ya milele.
Wasanii wenzake,mashabiki wake,ndugu,jamaa na marafiki walioneshwa kugushwa na kuumizwa sana na kifo cha Sharo Millionea.

MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALI PEMA PEPONI,
AMEN.

No comments:

Post a Comment