Tuesday, November 13, 2012

HIKI NDICHO KIJIJI AMBACHO KIPO KATIKATI YA NCHI YA TANZANIA.TAZAMA HAPA


Hapa ndio Sukamahela maeneo ya Manyoni, mkoani Singida, ambapo ndipo katikati kabisa ya nchi ya Tanzania. Alama yake iko kuleeee juu ya miamba ambako ukiangalia kwa makini juu ya mwamba uliochomoza kulia pana alama kama ya nyani aliyesimama inayoashiria hivyo.

No comments:

Post a Comment