Mwenyekiti wa CUF Wilaya ya Ikungi na ambaye pia ni Mjumbe wa Baraza kuu la uongozi Taifa,Bwana Athumani Henku akizungumza na mwandishi wa habari hizi.
CHAMA Cha Wananchi (CUF) Wilaya ya Ikungi,Mkoani Singida kimesema kitaandika barua kwenda CUF Makao makuu kuomba kuvunja masharti kwenye wilaya ya Ikungi,Mkoani Singida yaliyofikiwa katika kikao cha pamoja cha vyama vilivyopo kwenye umoja wa Ukawa kuhusu kuachiana majimbo ya uchaguzi kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo ubabe wanaofanyiwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo( CHADEMA).
Mwenyekiti wa CUF wilaya ya Ikungi,Athumani Henku alisema CUF wilaya ya Ikungi haipingani kabisa na masharti yaliyofikiwa kwenye kikao hicho cha pamoja na inaunga mkono kwa asilimia mia moja masharti hayo yatekelezwe kwenye wilaya zote za Tanzania,isipokuwa wilayani Ikungi peke yake.
Mwenyekiti huyo alitoa kauli hiyo alipokuwa akielezea masikitiko yake juu ya ubabe,dharau na manyanyaso wanayofanyiwa na Chama Cha