Watu wa nne wamekamatwa na jeshi la police
wakiwa na Baadhi ya vitu alivyokuwa navyo marehemu Sharo Milionea kama
vile
Jeans,T-Shert,Viatu,Simu ya mkononi,Pete,Cheni,Tairi moja la gari,pamoja na Battery la gari alilopatanalo ajali marehemu
Jeans,T-Shert,Viatu,Simu ya mkononi,Pete,Cheni,Tairi moja la gari,pamoja na Battery la gari alilopatanalo ajali marehemu
Sharo
Milionea....Inasemekana watu hao waliposhindwa kumvua Pete vidoleni
walimkata vidole vyake....Watuhumiwa hao walikuwa sita wamekamatwa wanne
bado wawili waliokimbia na pesa alizokuwa nazo Maremu Sharo Milionea...
No comments:
Post a Comment