Monday, July 6, 2015

Kaimu RC Singida, Alli Kamanzi, aaga vijana 279 wanaokwenda kujiunga na Jeshi la Kujenga Taifa.

Kaimu mkuu wa mkoa wa Singida, Alli Kamanzi, akitoa nasaha zake za kuwaaga vijana 279 waliochaguliwa kujiunga na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) katika kambi mbalimbali nchini. Kushoto ni Mwenyekiti wa kikosi cha JWTZ kanda ya kati, meja Kakwayu.


Baadhi ya vijana kutoka mkoa wa Manyara, Dodoma na Singida, waliochaguliwa kujiunga na Jeshi la kujenga taifa (JKT) kwenye kambi mbalimbali nchini na safari yao imeanza jana baada ya kuagwa na Kaimu Mkuu wa mkoa wa Singida,A lli Kamanzi.

No comments:

Post a Comment