ELIZABETH AKA MZUNGU ALIYEWEKEWA ALAMA YA NYOTA
ELIZABETH PERTTY AKA MZUNGU amebahatika kuingia kwenye Fainali za kumsaka Unique model of the year 2012 katika shindano la Unique model litakalofanyika katika tarehe 28 desemba mwaka huu katika ukumbi wa New Maisha club uliopo Oyterbay jijini Dar.
BANJUKA ENTERTAINMENT AND OUR GLOBALLY FANS WISHES LIZZY ALL THE BEST.
No comments:
Post a Comment