Mwenyekiti wa umoja wa
wafanyabiashara wa bodaboda mjini Singida,Irunde Mwangu (wa kwanza
kulia) akisikiliza kwa makini ushauri uliokuwa unatolewa na askari
polisi juu ya wao kusitisha kufanya mgomo kugomea ulipaji wa leseni na
ushuru wa SUMATRA.
Baadhi ya madereva wa bodaboda
wa Singida mjini wakiwa kwenye viwanja vya Peoples Club kwa lengo la
kufanya mgomo wa kugomea ushuru wa SUMATRA na ada ya leseni.
Pikipiki za wafanyabiashara wa bodaboda na bajaj wa manispaa ya Singida zikiwa kwenye mgomo.
It's perfect time to make some plans for the future and it's time to be haρpy.
ReplyDeleteI have read this poѕt and if I could I wish to suggest you few interesting thіngs
οr advice. Peгhаpѕ уou can write next articles rеfeгrіng to
this аrtіcle. ӏ want to read even more thіngѕ about
it!
Also visіt mу ωeb blog french riviera property