Mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya wilaya ya Mkalama mkoa wa Singida, Bravo Lyapembile, katika picha.
MKURUGENZI mtendaji wa halmashauri ya Mkalama mkoani singida, Bravo Lyapambile, amewaagiza maafisa watendaji Kata kutoa/kusoma taarifa za michango mbalimbali ikiwemo ya ujenzi wa maabara kwa wakati,ili wananchi waendelee kuamini halmashauri yao.
Amesema kwa njia hiyo wananchi watajenga imani na Halmashauri yao kwamba michango yao inatumika kwa malengo yanayokusudiwa.
Mkurugenzi huyo ameyasema hayo wakati akizungumza na mwakilishi wa SingidaYetuBlog ofisini kwake juu ya maendeleo ya ujenzi wa vyumba vitatu vya maabara katika kila Shule 19 za sekondari za kata za halmashauri hiyo
Bravo alisema kumekuwepo na malalamiko kutoka kwa baadhi ya wananchi wa Kata, kwamba kwa