Korongo kubwa lililopo katikati ya kituo kikuu cha mabasi yaendayo mikoani linalotishia usalama wa watumiaji wa kituo hicho pamoja na magari.
Baadhi ya mawe yaliyotegwa na mawakala na wapiga bede kwenye lango la kuingilia kituo kikuu cha mabasi yaendayo mikoani cha mjini Singida, kwa lengo la kuishinikiza manispaa iweze kuboresha miundo mbinu iliyoharibiwa na mvua zinazoendela kunyesha hivi sasa.
Baadhi ya askari polisi waliofika kituo kikuu cha mabasi yaendayo mikoani kutuliza mgomo uliofanywa na mawakala na wapiga debe kuzuia mabasi na magari mengine kuingia kwenye kituo hicho kilichopo Misuna mjini Singida.

No comments:
Post a Comment