Wednesday, November 28, 2012

HIVI NDIVYO HALI ILIVYOKUA MAKABURINI,KUMZIKA SHARO MILLIONEA

                             Hii ndo nyumba ya milele ya Sharo Millionea


 Mwili wa Marehemu Sharo Milionea ukiswaliwa mapema mchana huu kabla ya kupelekwa kwenye nyumba yake ya milele.



 Rafiki mkubwa wa marehemu Sharo Milionea,Mzee Majuto akiwa ameshikwa mkonona Msanii wa filamu

MWILI WA MAREHEMU SHARO MILLIONEA ULIVYOFIKISHWA NYUMBANI,HALI ILIKUA HIVI






JENEZA LA MAREHEMU SHARO MILLIONEA LIKIWASILI NYUMBANI KWAO KWA MAZISHI.







HII NDIO HALI HALISI ILIVYOKUWA MOCHWARI BAADA YA KUUFATA MWILI WA MAREHEMU SHARO MILIONEA .

 Bango likiwa Lango kuu la kuingilia hospitali teule ya Muheza,Tanga
 Eneo la Hospitali Teule ya Muweza ulipohifadhiwa mwili wa marehemu



 Mjomba wa Marehemu Sharo Milionea akimwaga machozi...


 Mama Mkubwa wa Sharo Milionea akilia kwa uchungu...
 Msanii aliyekuwa Rafiki kipenzi wa Sharo (Kitare) akiangua kilio Mochwari


 Kiongozi toka Serikalini akitoa maelekezo kwa watu waliofika mahali hapo....

 Huyu ni Mama Mzazi wa Sharo Milionea akiingia Mochwari kuutazama mwili wa mwanae
Ni majonzi,vilio na huzuni vilitawala eneo la hospitali teule ya Muheza,Tanga pale ndugu,jamaa,marafiki na wasanii wenzake Sharo Millionea

HII NDO NYUMBA YA MILELE YA SHARO MILLIONEA

Hapa ndipo yatapokua makazi ya milele ya marehemu

PICHA ZA ASUBUHI YA LEO,NYUMBANI KWA KINA SHARO MILLIONEA KWENYE MSIBA.







Asubuhi ya leo nyumbani kwa kina Sharo Millionea,ndugu,jamaa,marafiki na wasanii wenzake walikua kwenye hekaheka za

KITUO CHAKO KIKUU CHA KUJUA KINACHOJIRI KWENYE MAZISHI YA SHARO MILLIONEA.