HII NDO NYUMBA YA MILELE YA SHARO MILLIONEA
Hapa ndipo yatapokua makazi ya milele ya marehemu
Sharo Millionea aliyefariki juzi jumatatu na anategemewa kupumzishwa leo jumatano masaa machache yajao kwenye nyumba yake ya milele kijijini kwao.
MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU SHARO MILLIONEA MAHALI PEMA PEPONI,
AMEN.
No comments:
Post a Comment