KITOTO KICHANGA CHA TUPWA JALALANI MKOANI SINGIDA
Mtoto wa kiume anayekadiriwa
kuwa na umri kati ya mwezi moja au mwezi mmoja nusu akiwa amebebwa na
mama msamaria mwema baada ya kuokotwa akiwa ametelekezwa kwenye takataka
ngumu nyuma ya nyumba ya kulala wageni ya Subira iliyopo mjini Singida.
Mama msamaria mwema akiwa
anasindikizwa na askari polisi kumpeleka mtoto mchanga
kituo kidogo cha
polisi kilichopo kituo cha zamani cha mabasi mjini Singida.Mtoto huyo wa
kiume ameokotwa baada ya kutelekezwa kwenye lundo la
takataka na mtu ambaye bado hajafahamika hadi sasa.
No comments:
Post a Comment