Asubuhi ya leo nyumbani kwa kina Sharo Millionea,ndugu,jamaa,marafiki na wasanii wenzake walikua kwenye hekaheka za
kupaweka sawa kwa ajili ya kuuaga mwili wa Sharo Millionea kabla ya kwenda kumpumzishwa kwenye makazi yake ya milele mchana wa leo.
picha na habari zaidi zanaendelea kuja.....STAY TUNED......
No comments:
Post a Comment