Moja kati ya nyumba 10 zilizojengwa na Shirika la Nyumba la Taifa Tanzania { NHC } zilizopoa katika eneo la Madewa Veta Mkoani Singida.
Kaimu Mkurugenzi wa Shirika la Nyumba la Taifa Tanzania Nd. Peter Buheja akimkaguza Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi alipotembelea mradi wa nyumba zinazojengwa na shirika la Nyumba Tanzania Mjini Singida.
Kaimu Mkurugenzi wa Shirika la Nyumba la Taifa Tanzania Nd. Peter Buheja akimpatia maelezo Balozi Seif juu ya mashine 24 za Kufyatulia Matofali zilizotolewa na shirika hilo kwa ajili ya kupewa Vijana waliounda vikundi vya ushirika katika wilaya zote za Mkoa wa Singida kabla ya kukabidhi mashine hizo kwa Mkuu wa Mkoa huo Dr. Parseko Visent Koni.