Tuesday, September 2, 2014

Mfanyabiashara wa madini apata ajali mbaya ya gari lake iliyopelekea kupasuka kichwa na kufariki papo hapo.

Gari lililokuwa limebeba mwili wa mfanyabiashara wa madini ya Coper Henrico Kairuki likiwa katika hospitali ya mkoa wa Singida.
Hii ni sehemu ya kichwa cha marehemu Kairuki kilichopasuka hadi Ubongo kutoka nje.
 Ndugu jamaa wakishusha mwili wa mpiganaji Kairuki kwenye gari katika chumba cha maiti.


Mwili wa marehemu Kairuki ukiwa kwenye chumba cha kuhifadhia maiti hospitali ya mkoani Singida.
Ndugu na jamaa wakinawa mikono chumba cha maiti mara baada ya kumhifadhi ndani ya jokofu.
Huyo ni mmoja ya majeruhi aliyenusurika katika ajali hiyo Jerome Kasumbula.

No comments:

Post a Comment