Sunday, January 27, 2013

WAANGUKA NA UNGO KATIKA KITUO CHA POLISI MANYONI


Jeshi la polisi wilaya ya Monyoni mkoani Singida linawashikilia vijana watatu waliokuwa wakisafiri kwa kutumia ungo kutoka katika kijiji cha
Kinika kata ya Mkwese wilayani Manyoni kuelekea mkoani Mbeya na kuanguka karibu na kituo hicho.

6 comments:

  1. Aibu yao, washindwe na walegee. Wametutia aibu sana.

    ReplyDelete
  2. Aibu kwel yaan kwnn wachawi hamuoni fundisho hilo mkaacha?

    ReplyDelete
  3. SERIKALI YETU SI HAIAMINI UCHAWIIIIII SASA NA HICHO TUKIITE NINI

    ReplyDelete
  4. Sasa si walikuwa wanasafiri....!!!kipi cha ajabu?

    ReplyDelete
  5. Prosper HilaryOctober 06, 2013

    Sayansi akhito ntoni raajabu,hyo niajal kama ya bac

    ReplyDelete
  6. acha uongo wewe, hawa mbona ilikuwa mwanza aisee

    ReplyDelete