Wednesday, April 10, 2013

Watu watatu wa familia moja wafariki,Mkoa Singida.

              Kamanda wa jeshi la polisi mkoa wa Singida, ACP Linus Sinzumwa

Afisa upelelezi wa makosa ya jinai (RCO) mkoa wa Singida, Thobias Sedoyeka (wa kwanza kulia) 

Akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake Kamanda wa polisi mkoa wa Singida ACP Linus Sinzumwa amesema kuwa Juma Rashidi Mkua (60), Johari Lazaro (45) na Amina Rashid mwenye umri wa mwaka moja na nusu, wote wa familia moja wamefariki dunia baada ya
kuangukiwa na ukuta wa nyumba yao ya tembe.Amesema familia hiyo imefariki dunia Aprili mwaka huu usiku wa manane wakati wamelala kwenye nyumba yao ya tembe.

1 comment:

  1. AnonymousJune 30, 2014

    Hey juust wanted tо givе yοu а quiсκ
    heads up. Thе ωords in yoiur aгtіcle seеm to be running οff the screen in Firefοx.
    I'm not ѕure іf thiѕ is a formattіng isѕue
    or somethіng to ԁo with internet browѕer compatibility but I thought Ι'd post to let уou κnоw.
    The style anԁ dеsign look great thοugh!
    Hopе you get thee problem rеsоlved soon.
    Thanks

    My weblοg: Nick Yates

    ReplyDelete