Kanisa la Pentekoste (FPCT) la mjini Singida.
ASKOFU mstaafu wa kanisa la Pentekoste (FPCT) Singida, mchungaji Paulo Samweli akitekeleza majukumu yake.ASKOFU mstaafu wa kanisa la Pentekoste (FPCT) Singida, mchungaji Paulo Samweli,amewasihi waumini na wananchi kwa ujumla wajenge utamaduni wa kukataa kushawishiwa kirahisi,kwa njia hiyo wanaweza kujiepusha na mambo ambayo yanaweza kumsababishia washindwe kuishi kwa amani na utulivu.
Askofu Samwel ametoa wito huo wakati akihubiri kwenye ibada ya kawaida ya waumini wa kanisa la FPCT la mjini Singida.
Askofu huyo mstaafu, alisema mambo yote maovu likiwemo la uchotaji wa fedha za akaunti ya escrow Tegeta,huanza na

















