Tuesday, November 25, 2014

Basi la kampuni ya Hajis lanusurika kuteketea kwa moto!






Picha mbalimbali juu na chini zikionyesha kikosi cha zima moto manispaa ya Singida,wakijitahidi kuzima moto uliosababishwa na kazi ya kuchomomelea basi la kampuni ya Hajis ya mkoani Singida.Viti na sehemu kubwa ya ndani, imeungua vibaya.Tukio hilo limwetokea katika gereji ya kampuni ya Hajis iliyopo eneo la Utemini mjini Singida.

No comments:

Post a Comment