Baadhi ya askari polisi wakishiriki kumtoa Fisi ambaye alikuwa amejificha ndani ya duka la mitumba mjini Singida.
Baadhi ya wananchi wa mji wa Singida wakishuhudia kutolewa nje Fisi aliyekuwa amejificha ndani ya duka la mitumba mjini Singida.
Badhi ya wananchi wa mji wa Singida,wakishiriki kumuuawa Fisi aliyevamia mji wa Singida na kusababisha hofu kubwa kwa wakazi.
Fisi aliyevamia Singida mjini, akiwa kwenye gari la polisi baada ya kushambuliwa na wananchi kwa silaha za jadi.

No comments:
Post a Comment