Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Balozi wa Japan nchini Tanzania, Hiroshi Nakagawa, wakati alipofika Ofisini kwake Ikulu Dar es Salaam leo kwa ajili ya kumuaga baada ya kumaliza muda wake nchini.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Balozi wa Japan nchini Tanzania, Hiroshi Nakagawa, wakati alipofika Ofisini kwake Ikulu Dar es Salaam leo, kwa ajili ya kumuaga baada ya kumaliza muda wake nchini.BALOZI WA VATCAN
No comments:
Post a Comment