Wednesday, September 7, 2011

VODACOM MISS TANZANIA 2010-2011 NA MISS AFRICA 2004 WATOA MSAADA TANDALE





Miss Africa 2004 Cynthia Kanema (kushoto)ambae ni mgeni rasmi katika show ya Vodacom Miss talent leo itakayofanyika Giraffe Hotel leo na Mlezi wa kituo cha kulelea watoto yatima wa kituo cha Al- madina kilichopo Tandale wakimsikiliza Mkuu wa Itifaki wa kamati ya Miss Tanzania Bw.Albert Makoe kulia akifafanua jambo wakati wa makabidhiano wa msaada wa vyakula mbalimbali kwenye kituo


hicho.

No comments:

Post a Comment