Sunday, August 25, 2013

CHEKI YALIOJIRI KATIKA TAMASHA LA SERENGETI FIESTA SOKA BONANZA MKOANI SINGIDA

 Timu ya Liverpool moani Singida imefanikiwa kunyakua kikombe na zawadi nono ya fedha baada ya kuwafunga Beryen Munich magoli 2-0 katika mchezo wa fainali wa Serengeti Fiesta Soka Bonanza uliofanyika kwenye viwanja vya Peoples Club mjini Singida.

Kabla ya mchezo huo wa fainali, mapema Liverpol iliwaondosha Bacelona na Chelse, wakati nayo Beryen Munich iliwafunga AC Milan 1-0 na Arsenal










No comments:

Post a Comment