Meneja wa kampuni ya bia serengenti kanda ya ziwa (kulia) akimkabidhi Kapteni wa timu ya soka ya Liverpool ya Utemini mjini Singida Mohammed Saidi feza taslimu shilingi Laki Tatu baada ya kuibuka washindi katika fainali ya Bonanza liliyofanyika kwenye uwanja wa michezo wa Peoples Club Utemini.
Meneja wa kampuni ya bia Serengeti kanda ya ziwa (kulia) akimkabidhi kapteni Mohammed Saidi kombe baada ya kuibuka washindi katika fainali ya Soka ya Bonanza lililoandaliwa na kampuni ya Serengeti. Bonanza hilo lilitumika kuitangza bia ya Serengeti mkoani Singida.
Timu ya Bayern Munich ya Majengo Singida mjini iliyocheza fainali ya Bonanza la Serengeti Bia kati yake na Liverpool.F.C.ya Utemini.
Athumani Ntandu wa Chelsea F.C. ya Kibaoni mjini Singida akipiga mpira wa penalti dhidi ya Liverpool.Mpira huo ulipanguliwa na kipa Sudi wa Liverpool.
Baadhi ya wakazi wa Singida mjini,wakiburudika na Bia aina ya Serengeti kwenye viwanja vya Peoples Club wakati wa Bonaza lililoandaliwa na kampuni ya kutengeneza Bia ya Serengeti.

No comments:
Post a Comment