HUSSEIN MACHOZI AIBIWA LAPTOP NA KUSEKWA LOKAPU SINGIDA
Msanii Hussein Machozi aibiwa laptop yake aina ya Macintosh yenye thamani ya zaidi ya shilingi million
2.8 za kitanzania kwenye nyumba moja maarufu ya kulala wageni singida mjini.
Habari kamili sikiliza hapa
daaah! pole Hussein Machozi unaibiwa home. kwahiyo kumbe haukutendewa haki?
ReplyDelete