HIKI NDICHO KIJIJI AMBACHO KIPO KATIKATI YA NCHI YA TANZANIA.TAZAMA HAPA
Hapa
ndio Sukamahela maeneo ya Manyoni, mkoani Singida, ambapo ndipo
katikati kabisa ya nchi ya Tanzania. Alama yake iko kuleeee juu ya
miamba ambako ukiangalia kwa makini juu ya mwamba uliochomoza
kulia pana alama kama ya nyani aliyesimama inayoashiria hivyo.
No comments:
Post a Comment