Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akitoa orodha ya vijiji vitakavyopata huduma ya umeme katika wilaya ya Mkalama, alipohutubia mkutano wa hadharakwenye kijiji cha Nkungi, Wilaya humo, Mei 24, 2014, akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM na kusikiliza kero za wananchi na kujadsiliana nao njia za kuzitatua katika wilaya ya Iramba mkoani Singida.
Mkuu wa mkoa wa Singida Dk. Parseko Kone (aliyenyoosha mkono) akitoa maelezo kwa Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana (kulia) kuhusu maendeleo ya ujenzi wa daraja linalounganisha mikoa ya Singida na Simiyu katika mto Sibiti, Kinana alipokagua ujenzi wa daraja hilo akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM na kusikiliza kero za wananchi na kujadsiliana nao njia za kuzitatua katika wilaya ya Iramba leo Mei 24, 2014. Wapili kulia ni Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye ambaye amefuatana na Kinana katika ziara hiyo. Ujenzi wa daraja hilo unaogharimu sh. bilioni 16, unatarajiwa kukamilika Desemba mwaka huu.
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akitazama nguzo ya daraja linalojengwa kuunganisha mikoa ya Singida na Simiyu katika mto Sibiti, Kinana alipokagua ujenzi wa daraja hilo akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM na kusikiliza kero za wananchi na kujadsiliana nao njia za kuzitatua katika wilaya ya Iramba Mei 24, 2014.
Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape, akihutubia kwenye mkutano huo wa Nkungi, wilayani Iramba.
Katibu Mkuu wa CCM, Kinana akizungumza na Naibu Kamanda wa UVCCM mteule wilaya ya Mkalama, Alan Kiula baada ya kuzindua Ofisi ya CCM wilaya mpya ya Mkalama. Kushoto ni Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye na wapili kulia ni Mbunge wa Vito Maalum, Martha Mlata.
Kinana na Nape wakiondoka baada ya kuhutubia mkutano wa hadhara kwenye Kijiji cha Nkungi, wilayani Ilamba.
Mkuu wa mkoa wa Singida Dk. Parseko Kone (aliyenyoosha mkono) akitoa maelezo kwa Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana (kulia) kuhusu maendeleo ya ujenzi wa daraja linalounganisha mikoa ya Singida na Simiyu katika mto Sibiti, Kinana alipokagua ujenzi wa daraja hilo akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM na kusikiliza kero za wananchi na kujadsiliana nao njia za kuzitatua katika wilaya ya Iramba leo Mei 24, 2014. Wapili kulia ni Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye ambaye amefuatana na Kinana katika ziara hiyo. Ujenzi wa daraja hilo unaogharimu sh. bilioni 16, unatarajiwa kukamilika Desemba mwaka huu.
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akitazama nguzo ya daraja linalojengwa kuunganisha mikoa ya Singida na Simiyu katika mto Sibiti, Kinana alipokagua ujenzi wa daraja hilo akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM na kusikiliza kero za wananchi na kujadsiliana nao njia za kuzitatua katika wilaya ya Iramba Mei 24, 2014.
Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape, akihutubia kwenye mkutano huo wa Nkungi, wilayani Iramba.
Nape akimkaribisha Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Bara) Mwigulu Nchemba kuhutubia kwenye mkutano huo.
Mwigulu akihutubia katika mkutano huo wa Nkungi, Wilaya ya Mkalama.
Mbunge wa Iramba Mashariki Salome Mwambu akihutubia katika kijiji cha Nkungi, Wilaya ya Mkalama.Katibu Mkuu wa CCM, Kinana akizungumza na Naibu Kamanda wa UVCCM mteule wilaya ya Mkalama, Alan Kiula baada ya kuzindua Ofisi ya CCM wilaya mpya ya Mkalama. Kushoto ni Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye na wapili kulia ni Mbunge wa Vito Maalum, Martha Mlata.
Kinana na Nape wakiondoka baada ya kuhutubia mkutano wa hadhara kwenye Kijiji cha Nkungi, wilayani Ilamba.
No comments:
Post a Comment