Kamanda wa polisI Mkoani Singida (ACP) Thobias Sedoyeka (pichani)akizungumza na waandishi wa habari juu ya kutokea kwa ajali ya basi la City Boys na kusababisha vifo vya watu watatu Wilayani Iramba na mwingine kugongwa na Noah Singida vijijini.
WATU wanne wamefariki dunia Mkoani Singida baada ya kupata ajali ya kugongwa na basi la City Boys na mwingine Noah wakati wakivuka barabara eneo la Ulemo barabara kuu ya Singida- Nzega.
Kamanda wa polisi Mkoani Singida (ACP), Thobias Sedoyeka alisema ajaili hiyo imetokea jana majira ya 1:00 usiku katika kijiji cha Kitukutu Kata ya Ulemo, Tarafa ya Kinampanda ,Wilayani Iramba.
Alisema siku ya tukio, basi lenye namba za usajili T 846 CDU aina ya Scania mali ya kampuni ya City Boys likitokea Jijini Dar es Salaam kwenda Kahama lilikuwa likiendeshwa na dereva Adam George (33) mkazi wa Dar es Salaam.
Aidha alisema dereva huyo alipofika eneo na Kitukutu kutokana na kile kinachosadikiwa kuwa ni