Waziri wa Maliasili na Utaliii, Nyalandu aipiga jeki ofisi ya Qadhi mkoa wa Singida.
Msaidizi wa Waziri wa Maliasili na Utalii, Helen Mtalemwa akimkabidhimsaada wa shilingi 10 milioni Katibu wa mahakama ya Qadhi mkoa wa Singida, Alhaj Burhan Mlau kwa ajili ya kupunguza makali ya uendeshaji wa mahakama hiyo mjini Singida.
No comments:
Post a Comment