Wakulima mkoani Singida wanufaika kwa msaada wa majembe ya kukokotwa na Ng’ombe yaliyotolewa na Mh.Dewji.
Baadhi ya wakulima wa jimbo la
Singida mjini, wakinufaika na msaada wa majembe ya kukokotwa na Ng’ombe
uliotolewa na mbunge wa jimbo hilo, Mohammed Gullam Dewji hivi
karibuni.
No comments:
Post a Comment