HIVI NDIVYO BAADHI YA WATU WALIVYOILA PASAKA SINGIDA
Baadhi ya wakazi wa Singida
mjini, wakipata chakula cha mchana siku ya pasaka kwa mama lishe wa kituo kikuu cha
zamani cha mabasi mjini Singida, katika eneo la wazi kitendo ambacho si
salama kwa afya zao.
No comments:
Post a Comment