Tatizo sugu la upatikanaji wa
maji kwa wakazi wa mji wa Singida, linatarajiwa kuwa historia kuanzia
mwishoni mwa mwezi huu baada ya kukamilika kwa ujenzi wa mradi mkubwa wa
maji unaofadhiliwa na benki ya waarabu (BADEA) kwa kushirikiana na
umoja wa nchi zenye mafuta (OPEC). Baadhi ya vibarua wakichimba mtaro
wa kulaza mabomba ya maji ikiwa ni sehemu ya kumalizia ujenzi wa mradi
mkubwa wa maji.
No comments:
Post a Comment