Monday, September 16, 2013

Mkuu wa mkoa wa Singida Amtembelea Hospitalini Mwandishi wa Mwananchi na The Citizen aliyekatwa Mapanga na Jambazi

 Mkuu wa mkoa wa Singida, Dk.Parseko Vicent Kone akimjulia hali Mwandishi wa Habari wa Magazeti ya Mwananchi na The Citizen mkoa wa Singida, Awila Silla anayeendelea na matibabu katika hospitali ya mkoa mjini Singida, akitibiwa majeraha baada ya kukatwa katwa kichwani kwa Panga na kijana anayedaiwa kuwa ni Jambazi.


Mwandishi wa habari wa gazeti la The Citizen na Mwananchi mkoani Singida, Awila Silla ikiwa ni siku yake ya tatu wodi namba 2 katika hospitali ya mkoa mjini Singida, baada ya  kunusurika kuuawa na Jambazi Septemba 8 mwaka huu saa mbili usiku huku eneo la Utemini baada ya kukatwa katwa kichwani kwaPpanga na kusababisha kushonwa nyuzi 26.

No comments:

Post a Comment