Thursday, September 12, 2013

KIJANA ADAIWA KUKAMATWA NA MADAWA YA KULEVYA MJINI SINGIDA.



 Kijana mkazi wa mjini Singida ambaye hakufahamika jina lake mara moja akiwekwa chini ya ulinzi na askari polisi leo asubuhi kwa kile kilichodaiwa kumiliki madawa ya Kulevya aina ya Bangi.

No comments:

Post a Comment