WATOTO NA PAKITI ZA VIROBA VYA POMBE KALI.
Watoto wakazi wa kata ya Ipembe manispaa ya Singida, wakichezea pakiti za viroba vya pombe kali aina mbalimbali vilivyonywewa na watumiaji kama walivyokutwa na mpiga picha wetu. Pakaiti hizo za viroba ni hatari kwa Afya za Watoto hao endapo watamalizia akiba ya pombe kali inayobakishwa na wanywaji.
No comments:
Post a Comment