Sunday, December 2, 2012

SHARO MILLIONEA ASABABISHA BONGE LA BIFU KATI YA DJ CHOKA NA LADY NAAA AKA MTOTO MLITO.





 Haya ni maneno ambayo lady naaa aka mtoto mlito alimwandikia Dj Choka kwenye BBM

Hichi ndicho DJ CHOKA aliandika kwenye account ya ke ya facebook kumjibu lady naah "UJUMBE HUU UKUFIKIE WEE UNAYEJIITA LADY NAH...Nilikaa kimya na nikakuvumiliaaaaa baada ya kupata ujumbe wako mfupi ulioutuma BBM, ukaona haitoshi jana ukaenda...
EATV kwenye FRIDAY NIGHT LIVE ukaendelea kuongea maneno yako na kuwasema watu ambao hawajaenda kumzika marehemu Sharo Millionea. Sasa hao wengine uliowataja me sidili nao nadili na ww mazafaka. Bora ungeendelea kunisema me na sio kwenda kuya
zungumzia maisha yangu na mtoto wangu au demu wangu kwenye TV, haitoshi unaambiwa nalea unajibu kwani mimba nilibeba mimi? Huo usenge na ukuma gani unaenda kuzungumza kwenye media. Haya maisha yangu wewe kama nani uniingilie? Nakutafuta tuongee uso kwa uso ngoja niendelee kumlea dume langu litakalokuja kumuoa mwanao wa kike.. FUCK YOU"









No comments:

Post a Comment