Sunday, March 31, 2013
Saturday, March 30, 2013
Mwalimu wa walemavu amtaka Rais ateue walemavu kushika nafasi za Ukuu wa Wilaya, Mkoa na Uwaziri.
Mwalimu mkuu msaidizi wa
walemavu katika shule ya msingi mchanganyiko Ikungi wilaya ya Ikungi
mkoa wa Singida, Donard Bilali akitoa wito wake kwa rais Kikwete
kuangalia uwezekano wa kuteua walemavu kushika nafasi za ukuu wa
wilaya,mkoa na uwaziri kama anavyofanya kwa kundi la wanawake.
Mwalimu wa walemavu katika shule ya msingi mchanganyiko Ikungi wilayani Ikungi,Manase Ligula akitoa wapendekezo yake kuwa katiba ijayo,iagize wamiliki wa vyombo vya usafiri,watoe huduma bure kwa walemavu.

Rais
wa jamhuri ya muungano Tanzania,Dk.Jakaya Mrisho Kikwete ameshauriwa
kuangalia uwezekano wa kuteua walemavu kushika nafasi za ukuu wa
wilaya,mkoa na uwaziri kwa wale wenye uwezo na sifa za kuongoza katika
nafasi hizo kwa ufanisi.
Wito
huo umetolewa na mwalimu mkuu msaidizi wa walemavu katika shule ya
msingi mchanganyiko ya Ikungi wilaya ya Ikungi , Donard Bilali wakati
akizungumza na Singida Yetu Blog juu ya zoezi la uundwaji wa mabaraza
ya katiba.
Amesema
serikali ya awamu ya nne iliyoko chini ya rais Kikwete,imefanya
Mh. Dewji atoa msaada kwa taasisi za dini mkoani Singida
Katibu wa mbunge jimbo la
Singida mjini (Mh. Mohammed Dewji) Duda Juma akikabidhi mabati 100 kwa
mchungaji Zefania Mkuki wa kanisa la FPCT (Free penecoste church of
Tanzania) Unyamikumbi la mjini Singida.
Katibu wa mbunge jimbo la Singida mjini (Mh. Mohammed Dewji) Duda Juma akimkabidhi Kiongozi wa msikiti wa Hidaya Mtipa mifuko 50 ya Sementi.
Katibu wa mbunge jimbo la Singida mjini Duda Juma akikabidhi mabati 164 kwa mwenyekiti msaidizi Aloyce J.M wa kanisa la Kigango cha kibaoni.
Katibu wa mbunge wa Singida mjini Duda Juma akimkabidhi sheikh Ihucha Imamu wa msikiti wa Jabal Hiraa mifuko 200 ya Sementi.

umuhimu wa walemavu kushirikishwa kikamilifu katika uundaji wa mabaraza ya katiba.
Bango la shule ya msingi mchanganyiko Ikungi wilaya ya Ikungi mkoa wa Singida.
Baadhi ya wanafunzi wa shule ya msingi mchanganyiko Ikungi,wakiwa darasani.
Baadhi ya wanafunzi wa shule ya msingi mchanganyiko Ikungi,wakiwa darasani.
Mwalimu mkuu wa shule ya
msingi mchanganyiko Ikungi wilaya ya Ikungi Olivary Kamilly akizungumza
na waandishi wa habari (hawapo kwenywe picha) juu ya umuhimu wa walemavu
kushirikishwa kikamilifu katika uundaji wa mabaraza ya katiba.
Mwalimu
mkuu wa shule ya msingi mchanganyiko wilaya ya Ikungi mkoa wa Singida
Olivary Kamilly, amependekeza walemavu washirikishwe kikamilifu katika
mabaraza ya katiba kwa madai kuwa ndio wenye uwezo mzuri wa kuwakilisha
mahitaji yao.
Mwalimu
Kamilly mwenye taaluma ya ufundishaji walemavu, ametoa pendekezo hilo
wakati akizungumza na Singida Yetu Blog ofisini kwake, juu ya uundaji
wa mabaraza ya katiba.
Amesema mahitaji ya walemavu yataelezwa vizuri zaidi na walemavu wenyewe kwa kuwa wanaishi na ulemavu.
Akifafanua
zaidi, mwalimu huyo mkuu amesema
Asilimia 46 ya wakazi wa kijiji cha Ntwike mkoani Singida wanapata maji safi na salama kutokana na mradi wa maji.
Katibu tawala wa wilaya ya
Iramba,Yahaya Naniya akizundua mradi wa maji wa kijiji cha Ntwike tarafa
ya Shelui uliogharimu zaidi ya shilingi 190 milioni.
Mhandishi wa idara ya maji wilaya ya Iramba akitoa taarifa yake kwenye kilele cha wiki ya maji iliyofanyika kiwilaya katika kijiji cha Ntwike wilaya ya Iramba.
Baadhi ya wakazi wa kijiji cha Ntwike tarafa ya Shelui waliohudhuria maadhimisho ya wiki ya maji kiwilaya yaliyofanyikia kwenye kijiji hicho.
Baadhi ya wakazi wa kijiji cha Nkokilangi tarafa ya Shelui wilaya ya Iramba,wakichota maji juzi kwenye mto wa durumo juzi.Hata hivyo,maji hayo si salama kwa afya ya binadamu.

Shirika
lisilo la kiserikali la mpango endelevu na uboreshaji mazingira
(SEMA), kwa kushirikiana na halmashuari ya wilaya ya Iramba na wananchi
wa kijiji cha Ntwike jimbo la Iramba Magharibi, kwa pamoja wamechangia
zaidi ya shilingi milioni 190.5 kwa ajili ya kugharamia ujenzi wa mradi
wa maji katika kijiji cha Ntwike tarafa ya Shelui.
Afisa
mipango wa SEMA Hudson Kazonta amesema hayo wakati akizungumza kwenye
hafla ya uzinduzi wa mradi huo wa maji ambao ulikuwa ni
Thursday, March 21, 2013
Serikali ya wilaya ya Singida imeagiza kuwa kila siku ya Jumatano kuwa siku ya usafi kwa kazi zote kusimama na kufanya usafi tu.
Mkuu wa wilaya ya Singida Mwalimu Queen Mlozi akikagua kibanda cha mama lishe katika soko kuu mjini Singida.
Mkuu wa wilaya ya Singida Mwalimu Queen Mlozi akiwa kwenye ziara ya kuhimiza usafi katika manispaa ya Singidaleo. Hapa akihimiza kuondolewa kwa uchafu wa matawi ya migomba katika soko mkuu mjini Singida.
Mkuu wa wilaya ya Singida Mwalimu Queen Mlozi akiwaagiza akina mama wajasiria mali wauzaji wa mboga mboga katika soko kuu la Singida mjini wahakikishe soko kuu linakuwa safi wakati wote kwa kuondoa takataka.
Mkuu wa wilaya ya Singida Mwalimu Queen Mlozi (kulia) akifurahia jambo na wajasiriamali wauza mboga mboga wa soko kuu mjini Singida.

Tatizo la uhaba wa maji kwa wakazi wa Singida kumalizika mwishoni kwa mwezi ujao.
Serikali
ya mkoa wa Singida imesema tatizo la muda mrefu la uhaba wa maji kwa
wakazi wa Singida mjini, litakuwa historia ifikapo mwishoni mwa mwezi
ujao, baada ya mradi mkubwa wa maji unaofadhiliwa na benki ya kiarabu
(BADEA) na shirika la mafuta ulimwenguni (OPEC) utakapomalizika.
Akizungumza
kwenye uzinduzi wa wiki ya maji uliofanyika katika eneo la Irao,
halmashauri ya manispaa ya Singida, Mkuu wa mkoa wa Singida Dk.Parseko
Vicent Kone akifafanua, amesema kuwa utekelezaji wa mradi huu, umefikia
kiwango cha aslimia 93 na unategemewa ifikapo
Wednesday, March 20, 2013
Tuesday, March 19, 2013
TANROADS Singida yatumia zaidi ya sh. Bilioni 2.2 kutengezeka barabara na madaraja 14 kwa kipindi cha Julai ’12 hadi Februari’13.
Meneja wa TANROADS mkoa wa
Singida mhandisi Yustaki Kangole, akitoa taarifa yake kwenye kiako cha
bodi ya barabara mkoa wa Singida kilichofanyika katika ukumbi wa
mikutano wa ofisi ya mkuu wa mkoa mjini Singida.
Mkurugenzi wa halmashauri ya manispaa ya Singida Mathias Mwangu,akichangia maoni kwenye kikao cha 34 cha bodi ya barabara mkoa wa Singida kilichofanyika katika ukumbi wa mikutano wa ofisi ya mkuu wa mkoa wa Singida mjini Singida.

Wakala
wa barabara (TANROADS) mkoa wa Singida, umetumia zaidi ya sh. 2.2
bilioni kugharamia matengenezo mbalimbali ya barabara zake na madaraja
14, kwa kipindi cha kuanzia Julai mwaka jana hadi Februari mwaka huu.
Akitoa
taarifa yake mbele ya kikao cha 34 cha bodi ya barabara, kilichofanyika
kwenye ukumbi wa mikutano wa ofisi ya mkuu wa mkoa mjini Singida,
Meneja wa TANROADS mkoa wa Singida Mhandisi Yustaki Kangole, amesema
baadhi ya fedha hizo, Sh. 301.6 milioni, zimetumika kugharamia
Monday, March 18, 2013
TANROADS Singida yaagizwa kusimamia wakandarasi wa barabara kwa ukaribu ili kuepuka ujenzi chini ya kiwango.
Mkuu wa mkoa wa Singida
Dk.Parseko Vicent Kone akifungua kikao cha 34 cha bodi ya barabara mkoa
wa Singida leo. Kikao hicho kimefanyika kwenye ukumbi wa mikutano wa
ofisi ya mkuu wa mkoa mjini Singida.
Baadhi ya wajumbe wa kikao cha 34 cha bodi ya barabara mkoa wa Singida, wakifuatilia kwa makini kikao hicho kilichokuwa chini ya mwenyekiti ambaye ni mkuu wa mkoa wa mkoa wa Singida Dk.Parseko Vicent Kone (hayupo kwenye picha).

Mkuu
wa mkoa wa Singida Dk. Parseko Vicent Kone ameuagiza wakala wa barabara
(TANROADS), kusimamia kwa karibu na kuhakikisha wakandarasi wanaopewa
kazi ya kujenga barabara, wanajenga kwa viwango vilivyoainishwa kwenye
mikataba yao.
Dk. Kone amesema kwa njia hiyo kutasaidia mno kupunguza mianya ya kupoteza fedha za umma na pia, kuondoa malalamiko kutoka kwa viongozi na wananchi, kwamba ujenzi husika haufanani na fedha zilizotumika.
Mkuu
huyo wa mkoa ametoa agizo hilo leo wakati akifungua
TFDA Kanda ya Kati Singida yateketeza bidhaa mbalimbali zisizo na viwango zenye thamani ya zaidi ya sh. milioni 7.1.
Mkaguzi wa dawa wa Mamlaka ya
Chakula na Dawa (TFDA) Kanda ya Kati, Dkt.Engelbert Mbekenga,
akizungumza na waandishi wa habari (hawapo kwenye picha) juu ya msako
unaoendelea wa kukamata bidhaa zilizokwisha muda wake wa kutumika na
zile zilizopigwa marufuku kutumiwa. Hivi karibuni mamlaka hiyo
iliteketeza bidhaa zilizoisha muda wake na zile zenye sumu za thamani ya
zaidi ya silingi milioni 7.1 zilizokamatwa wilaya ya Iramba na Singida
vijijini.
Mamlaka
ya Chakula na Dawa (TFDA) Kanda ya Kati, imeteketeza bidhaa mbalimbali
ikiwemo vipodozi vyenye viambato vya sumu, zenye thamani ya zaidi ya Sh.
milioni 7.1.
Bidhaa zingine zilizoteketezwa ni pamoja na vyakula na vinywaji vilivyokwisha muda wake wa kutumika na zile zenye ubora hafifu.
Hayo
yamesemwa na Mkaguzi wa TFDA Kanda ya Kati Dkt. Englibert Mbekenga,
muda mfupi baada ya
Sunday, March 17, 2013
Subscribe to:
Posts (Atom)