Friday, March 15, 2013

Zoezi la kuhuisha taarifa za benki NMB Singida lazorotesha shughuli za uzalishaji.

 Zoezi linaloendelea la wateja wa NMB tawi la Singida limesababisha foleni kubwa kitendo kinachochangia wateja kupoteza muda mwingi kuwasilisha taarifa zao mpya. Hata hivyo wateja wa NMB walipewa takribani mwaka mzima kuhuisha taarifa zao lakini wengi wamesubiri hadi tarahe ya mwisho kukamilisha zoezi hilo.


No comments:

Post a Comment