Monday, March 11, 2013

TFDA wateketeza bidhaa zisizofaa kwa matumizi ya binadamu mkoani Singida.

 Mkaguzi wa dawa wa mamlaka ya chakula na dawa (TFDA) kanda ya kati, Dk.Engelbert Mbekenga akizungumza na waandishi wa habari (hawapo kwenye picha) juu ya msako unaoendelea wa kukamata bidhaa zilizokwisha muda wake wa kutumika na zile zilizopigwa marufuku kutumiwa.
 Moto ukiteketeza bidhaa zilizokamatwa na TFDA kwa madai kuwa muda wake wa kutumika umepita na zingine ambazo zimepigwa marufuku.

No comments:

Post a Comment