Thursday, March 14, 2013

AJALI YA PIKIPIKI.......!

Kijana aliyetambulika kwa jina la Mahadi Mbara, akiwa nje ya kituo cha kati cha polisi mjini Singida akisubiri fomu namba 3 ya polisi(P.F 3) kwa ajili ya kutibiwa. Mbara anadaiwa kupata ajali ya pikipiki na kuumia vibaya kutokana na kutotumia kofia ngumu (helmet).

1 comment:

  1. Kwa nini PF3 zisiwe zinatolewa hospitali? inauma unapoona mtu yupo hoi lkn lazima aende polisi kuchukua hiyo form napenda kuiomba serikali ifikirie jambo hili kwa makini labda pawepo na huduma ya kwanza pale pale polisi ili ufikapo matra moja uanze kupata huduma. Serikali tafadhali tazameni hili leo mm kesho ww serikali je utakubali kusubiri pf3 ?????

    ReplyDelete