Kijana anayedhaniwa kuwa ni
kibaka katika eneo la soko kuu mjini Singida, akisulubiwa kwa kupigwa na
mateke na mawe baada ya kutuhumiwa kumwibia simu ya mkononi msichana
(kulia) anayemshikilia.
Kijana huyo akipaa baada ya kupigwa ‘mtama’ kwa tuhuma ya kukwapua simu ya mkononi ya msichana (wa pili kulia).
Kijana huyo akipaa baada ya kupigwa ‘mtama’ kwa tuhuma ya kukwapua simu ya mkononi ya msichana (wa pili kulia).
No comments:
Post a Comment