Mazingira ambayo mtoto wako anacheza kila siku, Je yako salama..???
Watoto wakazi wa kijiji cha Ilolo kata ya Mhintiri tarafa ya Ihanja wilaya ya Ikungi, wakiogelea kwenye mto wa kijiji hicho kama walivyokutwa na mpiga picha wetu. Maji hayo licha ya kuwa ni machafu mno, kuna uwezekano mkubwa watoto hao wakapata ugonjwa wa Kichocho.
No comments:
Post a Comment