Picha zote zikimuonesha Marehemu enzi za uhai wake.
kamanda wa polisi mkoa wa tanga Bwana Constatine Massawe amesema " kifo cha millionea kimetokea majira ya saa mbili, eneo linaloitwa Maguzoni songa , akiwa anaendesha gari aina ya toyota Harrier akitokea Dar kuelekea Muheza, alipofika hapo gari
liliacha barabara na kupinduka, na maiti imehifadhiwa katikachumba cha maitiya hospitali teule ya Muheza. alikuwa mwenyewe.
Mungu ailaze roho ya marehem mahali pema peponi Amen
Nawapa pole watanzania wote kwa msiba huu wa msanii chipukizi.
ReplyDeleteJamani, kweli kizuri hakidumu! Nawapa pole watanzania kwa kuondokewa na msanii huyu. Mungu ailaze pema peponi roho ya marehemu. R.I.P shalo.
ReplyDelete