Tuesday, November 27, 2012

PICHA NYINGINE 10 ZA GARI ALILOPATA NALO AJALI SHARO MILLIONEA.










Gari aina ya Toyota Harrier aliyokua akiendesha Shoro Millionea likiwa katika kituo cha polisi baada ya kuacha barabara na kupinduka eneo la Maguzoni songa,Muheza, Tanga karibu kabisa na kijijini kwao.Taarifa ya Polisi inasema
marehemu Sharo Millionea alifariki papo hapo,kutokana na kuumia sana maeneo ya kichwani.Shalo millionea alipata ajali hiyo majira ya saa mbili usiku na kufikishwa hospitali teule ya Muheza,Tanga majira ya saa tatu usiku.
Bwana ametoa na Bwana ametwaa,Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi.
Amen.

No comments:

Post a Comment