Friday, November 30, 2012

MATUKIO ZAIDI MAZISHI YA SHARO MILLIONEA:MAMIA WAPOTEZA FAHAMU BAADA YA MWILI WA MAREHEMU KUWASILI.

                                                      Hili ni gari lililoleta Mwili wa Marehemu nyumbani
                                                   Mwili wa Marehemu ukiingizwa ndani.


 Mweshimiwa  Nape Nauye nae hakua nyuma.






Baadhi ya watu walio poteza fahamu kwenye msiba wa Sharo Millionea wakipewa huduma ya kwanza.Inaelezwa kuwa
wengi wao waliopoteza fahamu walipata mshituko au shock baada ya kuliona jeneza la marehemu Sharo Millionea na wengine walikosa nguvu na kuzirahi.

No comments:

Post a Comment