HALI YA MZEE MAJUTO YAZIDI KUWA MBAYA BAADA YA KIFO CHA SHARO MILLIONEA.
Hali ya presha ya Mzee King Majuto imepanda na
kuzidi kuwa mbaya baada ya kupokea taarifa za msiba wa Sharo Milionea
hali inayopelekea
mkewe na Mwanae kupeana zamu katika kumhudumia ili
kurejesha hali yake katika hali ya kawaida
No comments:
Post a Comment