Picha mbalimbali zinazoonyesha basi hilo kupinduka,ambapo abiria
zaidi ya 40 wamenusurika kufa baada ya basi dogo aina ya Costa lenye
namba za usajili T.333 BNK lililokuwa linatoka Singida mjini kwenda
kijiji cha Ilunda wilayani Iramba, kupinduka katika eneo la kituo cha
mabasi cha zamani kwa kile kilichodaiwa kuwa ni kuzidiwa na uzito wa
mizigo iliyokuwa imepakiwa.
No comments:
Post a Comment