Wednesday, November 28, 2012

HIKI NDISHO KILICHO MUUA SHARO MILLIONEA.

                                    Marehemu Sharo Millionea enzi za uhai wake

Kwa mujibu msaidizi wa muuguzi mkuu wa hospitali teule ya Muheza,Tanga ulipopelekwa mwili wa marehemu baada ya kufariki ni kwamba Sharo Millionea amepata
majeraha makubwa sana kichwani hali iliyopelekea kichwa chake kubonyea,pia alikutwa na majeraha mengine kwenye mabega ambayo sio makubwa sana.
Kwa mujibu wa muuguzi huyo jeraha lililosababisha kifo cha Sharo Millionea ni hilo la kichwani.

No comments:

Post a Comment