Monday, October 14, 2013

UTPC yatoa msaada wa Kompyuta nne kwa Singida Press Club

Afisa programu – mahusiano ya klabu na ufuatiliaji umoja wa vilabu vya waandishi wa habari Tanzania (UTPC) Victor Maleko (kulia) akimkabidhi mweka hazina msaidizi wa Singida Press Club (Singpress) Nathaniel Limu vifaa mbalimbali  vilivyotolewa msaada na UTPC kwa ajili ya  kuboresha utendaji wa  wanachama wa klabu hiyo. Vifaa hivyo ni pamoja na kompyuta nne na vifaa vyake.

No comments:

Post a Comment