Moto mkubwa uliosababishwa na
hitilafu ya umeme umeunguza nyumba ya shirika la nyumba taifa (NHC)
iliyopo jirani na soko kuu mjini Singida. Pichani ni Baadhi maduka
yaliyougua kwa moto huo.
Baadhi ya bidhaa zikiokolewa kwenye maduka yaliyougua moto unaodaiwa kusababishwa na hitilafu ya umeme kwenye nyumba ya shirika la nyumba la taifa (NHC).
Heka heka za kuzima moto uliokuwa ukiunguza nyumba ya shirika la nyumba Taifa iliyopo jirani na soko kuu. Katibu mkuu mstaafu wa CCM taifa Mzee Yusuf Maamba aliwahi kuishi kwa muda mrefu katika nyumba hiyo wakati akiwa katibu tarafa tarafa ya Mungumaji manispaa ya Singida.

Baadhi ya wafanyabiashara wa soko kuu mjini Singida wakisaidia kuokotoa bidhaa zisiteketee kwa moto uliokuwa ukiunguza nyumba ya shirika la nyumba taifa (NHC).
Baadhi ya wakazi wa manispaa ya Singida wakiangalia moto uliokuwa
ukiteketeza nyumba ya shirika la nyumba NHC jirani na soko mkuu mjini Singida.

No comments:
Post a Comment